RAIS MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM



SeeBait

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli 
akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 29, 2017. Kikao hicho pia kimehudhuriwa na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan pamoja na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi. PICHA NA IKULU

Hakuna maoni:

Inaendeshwa na Blogger.