Video: Msanii wa Ujerumani amsifu Diamond na Fid Q kwa hili
Msanii mwenye asili ya Kijerumani anayefanya muziki wake Kisiwani Zanzibar, Badawi Powa amemsifu Diamond Platnumz na Fid Q kwa kuutangaza muziki wa Tanzania kimataifa. Pia msanii huyo ameeleza mipango yake ya kufanya muziki hapa nchini na tayari ameanzisha studio ya kurekodia muziki huo.
Hakuna maoni: