Alichopost DJ Khaled kuhusiana na Diamond leo.
Baada ya siku za hivi karibuni Staa wa Hollywood Rick Ross kumpost Diamond Platnumz baada ya kupewa ubalozi wa kinywaji cha Belaire, Leo September 30, 2017 producer na DJ wa Marekani ajulikanaye kama DJ Khaled pia amempost Diamond Platnumz jambo ambalo linaleta maswali kwamba huenda wawili hao wanaweza kufanya kazi pamoja hivi karibuni.
Ulipitwa na hii? Flaviana Matata kakutana na Swizz Beatz, Diamond, Alikiba na Vanessa wakiingia kwenye headlines
Hakuna maoni: