BREAKING NEWS; Ester Bulaya Augua Ghafla Akiwa Rumande
![](https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2017/08/bulaya-1.jpg)
Bulaya akiwa amelazwa.
MBUNGE wa Bunda Mjini, Ester Amos Bulaya (Chadema) amelazwa katika Hospitali ya Wilaya ya Tarime mkoani Mara usiku wa kuamkia leo baada ya kuugua ghafla akiwa rumande ambako alikuwa ameshikiliwa na Jeshi la Polisi Kanda ya Tarime Rorya baada ya kumkamata akiwa hotelini kwa madai ya kutaka kufanya mkusanyiko usio halali.![](https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2017/08/bulaya1.jpg)
..Akiendelea kutibiwa.
Aidha imeelezwa kuwa, Bulaya alianguka na kupoteza fahamu akiwa rumande hivyo kukimbizwa hospitali kwa matibabu.
Hakuna maoni: