Kendrick Lamar akomba tuzo sita za MTV VMA2017
Rapper kutoka Marekani Kendrick Lamar, amenyakua tuzo sita za MTV Video Music Awards 2017 zilizofanyika katika ukumbi wa The Forum -Inglewood, mjini California Marekani, zikiwa na vipengele 16.
Kendrick Lamar alichaguliwa katika vipengelea nane na kati ya hivyo ameibuka kwa kupata tuzo kwenye vipengele sita, ugawaji wa tuzo hizo umefanyika Alfajiri ya kuamkia leo.
Wengine waliondoka na tuzo hizo ni pamoja na Ed Sheeran ambaye alipata kupitia kipengele cha Artist of the Yearna zilishereheshwa na muigizaji na mwanamuziki Katy Perry.
Hii ndiyo orodha ya walioshinda:
VIDEO OF THE YEAR:
Kendrick Lamar – “HUMBLE.”
Kendrick Lamar – “HUMBLE.”
ARTIST OF THE YEAR:
Ed Sheera
BEST NEW ARTIST:
Khalid
Khalid
BEST COLLABORATION:
Zayn & Taylor Swift – “I Don’t Wanna Live Forever (Fifty Shades Darker)”
BEST POP:
Fifth Harmony ft. Gucci Mane – “Down”
BEST HIP HOP:
Kendrick Lamar – “HUMBLE.”
BEST DANCE:
Zedd and Alessia Cara – “Stay”
BEST ROCK:
Twenty One Pilots – “Heavydirtysoul”
BEST FIGHT AGAINST THE SYSTEM:
Logic ft. Damian Lemar Hudson – “Black SpiderMan”
The Hamilton Mixtape – “Immigrants (We Get the Job Done)”
Big Sean – “Light”
Alessia Cara – “Scars To Your Beautiful”
Taboo ft. Shailene Woodley – “Stand Up / Stand N Rock #NoDAPL”
John Legend – “Surefire”
The Hamilton Mixtape – “Immigrants (We Get the Job Done)”
Big Sean – “Light”
Alessia Cara – “Scars To Your Beautiful”
Taboo ft. Shailene Woodley – “Stand Up / Stand N Rock #NoDAPL”
John Legend – “Surefire”
SONG OF SUMMER:
XO Tour Llif3 – Lil Uzi Vert
XO Tour Llif3 – Lil Uzi Vert
BEST CINEMATOGRAPHY:
Kendrick Lamar – “HUMBLE.” (Cinematographer: Scott Cunningham)
BEST DIRECTION:
Kendrick Lamar – “HUMBLE.” (Directors: Dave Meyers, The Little Homies)
BEST ART DIRECTION:
Kendrick Lamar – “HUMBLE.” (Production Designer: Spencer Graves)
BEST VISUAL EFFECTS:
Kendrick Lamar – “HUMBLE.” (Company: Timber/Lead: Jonah Hall)
BEST CHOREOGRAPHY:
Kanye West – “Fade” (Choreographers: Jae Blaze, Guapo, Matthew Pasterisa, Teyana Taylor & Derek Watkins)
BEST EDITING:
Young Thug – “Wyclef Jean” (Editors: Ryan Staake, Eric Degliomini)
Hakuna maoni: