New Video: D’banj ft Wande Coal ft Gucci Mane – El Chapo



Mkali wa muziki kutoka Nigeria, D’banj ameachia video ya ngoma yake mpya ‘El Chapo’ yaliyomshirikisha rapper mfanyabiashara Gucci Mane na Wande Coal, Video ya ngoma hiyo imetengenezwa na Eif Rivera, kutoka kampuni ya American production.

Hakuna maoni:

Inaendeshwa na Blogger.