Rais Magufuli alivyokata tiketi na kupanda panton leo
Rais Magufuli leo alitembelea Feri ambapo moja ya kitu amefanya baada ya kufika eneo hilo ni kujichanganya na Wananchi kukata tiketi kisha akapanda Panton kwenda na kurudi Kigamboni.
Tazama kwenye video hii hapa chini!!!
Hakuna maoni: