New Audio: Rama Dee – Protocal
Mkali wa muziki wa RnB Bongo, Rama Dee ameachia ngoma mpya ‘Protocol’, ikiwa imechukua baadhi ya mistari kutoka kwenye ngoma ya G Nako ‘Nuru’, producer wa wimbo huu ni Elly da Bway.
Betri ni kifaa muhimu sana kwenye Kompyuta ambacho mara nyingi ndicho hutunza umeme wa ziada(backup), na mara zote ili betri iweze kuchaji...
Hakuna maoni: