Video Mpya ya Diamond Platnumz ft Morgan Heritage - Hallelujah


C.E.O wa WCB, Diamond Platnumz ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Hallelujah’ aliyoshirikisha kundi la muziki wa reggae Morgan Heritage. Audio ya wimbo huo umefanywa na Lizer na video imetayarishwa na Mr. Moe Musa.

Hakuna maoni:

Inaendeshwa na Blogger.