YATAMBUE MABADILIKO DIRECT COST UDOM UDOM MWAKA WA MASOMO 2017/18. WATOTO WA MASKINI KUSOMA UDOM ITAKUWA NDOTO TU


Image result for ONGEZEKO LA PESA UDOM
UDOM



Tukianza na first year wa college ya TIBA, wao watalipa TSh 300,250/=
Continuous wa Tiba watalipa Tsh 295,000/=
First year wa college zingine except CHAS, watalipa 268,750/=
Continuous watalipa Tsh 263,500/=
TCU maarufu kama quality assurance Tsh 20,000/= kwa mwaka.
UDOSO Tsh 10,000/=
NHIF maarufu kama bima ya afya Tsh 50,400/=
HIYO PESA YOTE INALIPWA KWA AWAMU MOJA.
SZITAMBUE 2017/18.
ZITAMBUE DIRECT COST MWAKA 2015_2017.
Tiba first year walikuwa wakilipa Tsh 253,100/=
Tiba.Continuous walikuwa wakilipa Tsh 214,600/=
DIRECT COST college zingne except CHAS walikuwa wakilipa kama ifuatavyo.
FIRST YEAR TSH 20,7500/=
CONTINUOUS TSH walikuwa wakilipa Tsh 169,000/=
UDOSO TSH 5000/=
TCU TSH 20000/=
BIMA NHIF TSH 50400/=.
NB.Enyi viongozi wa UDOSO badiliko la direct cost limetusitua sana kuwa kubwa kiasi hiki hatujajua kama na nyie mlipewa taarfa juu ya badiliko hili?

TUNA OMBA SERIKALI PAMOJA NA UONGOZI WA CHUO KULIANGALIA HILI KWA JICHO PEVU

RAIS WA FEDERATION PAZA SAUTI NA MARAISI WAKO WA COLLEGE LASIVYO WATOTO WA MASKINI KUSOMA UDOM ITAKUWA NDOTO TU

Hakuna maoni:

Inaendeshwa na Blogger.