Game of Thrones yaweka rekodi ya kutazamwa zaidi
Msimu wa mwisho wa tamthilia ya ‘Game of Thrones’ umevunja rekodi kwa kutazamwa na watu wengi zaidi kupitia HBO.
Awali rekodi kama hiyo ilikuwa ikishikiliwa na tamthilia ya ‘The Dragon and the Wolf’ iliyokuwa na watazamaji milioni 12.1 na sasa rekodi inashikiliwa na ‘Game of Thrones’ iliyopo msimu wa saba ikiwa na watazamaji milioni 16.5, kwa muijbu wa Nielsen.
Pia HBO ameongeza kuwa idadi ya watazamaji wa tamthilia hiyo wanazidi kuongezeka kutokana na kuwa wengine wanatazama kupitia online.
Hakuna maoni: