Red Carpet ya MTV VMA 2017
Alifajiri ya leo kulikuwa na ugawaji wa tuzo za muziki za MTV Video Music Awards2017, katika mji wa Calfonia Marekani kwenye ukumbi wa The Forum-Inglewood. Katika ugawaji wa Tuzo hizo mastaa mbalimbali walifika na walipita katika zulia jekundu kuonyesha mavazi yao.
Hakuna maoni: