Good News: Watanzania 10 wametajwa kuwania Tuzo za AFRIMA 2017


Ni Good News nyingine kwenye muziki wa Tanzania baada ya Waandaaji wa All African Music Awards ‘AFRIMA’ wametangaza list ya wasanii wanaowania tuzo katika vipengele mbalimbali kwa mwaka 2017 ambazo hujumuisha Mastaa kibao katika tasnia ya muziki wa Afrika November 10-12, 2017.
Kuna jumla ya wanamuziki 33 waliotajwa kuwania tuzo mbalimbali lakini wamegawanywa katika Kanda Tano ambazo ni Afrika ya Kati, Afrika Mashariki, Afrika Kusini, Afrika Kaskazini na Afrika Magharibi huku pia kukiwa na tuzo zinazojumuisha Afrika nzima.
Muziki wa Bongofleva haujaachwa kwenye list hiyo ambapo mastaa kutoka Tanzania Diamond Platnumz, Alikiba, Darassa, Lady Jay Dee, Vanessa Mdee, Nandy, Feza, Msafiri Zawose na Topher Jaxx.
Best Female Artiste Eastern Africa
ArtisteTrackCountry
Chess NthussiGive it to youKenya
FezaWaleteTanzania
Juliana KanyomoziI am Still HereUganda
Lady JaydeeSawa Na WaoTanzania
NandyOne DayTanzania
Vanessa MdeeCash MadameTanzania
Victoria KimaniGiving You ft SarkodieKenya
Wayna WondwossenYou are not aloneEthiopia

Best Male Artist, Eastern Africa
ArtisteTrackCountry
AlikibaAje ft M.ITanzania
Diamond PlatinumzEnekaTanzania
Eddy KenzoShauri YakoUganda
Henok & Mehari BrothersFikir YishalaEthopia
Kibrom BirhaneEskista ft Nassmbu BarasaEthiopia
Mura K.EExcuse my LanguageKenya
OctopizzoTBTKenya
Sinishaw LegesseSelam EthopiaEthiopia
QritiqualMalikaKenya

Best Artist or Group in African Contemporary.
ArtisteTrackCountry
Adekunle GoldMy LifeNigeria
AlikibaAje (Ft M.I.)Tanzania
Anselmo RalphPor Favor DJAngola
BusiswaIngqondoSouth Africa
Ferre GolaKipelekieseDRC
Oumou SangareYere Faga ft Tony AllenMali
P-SquareBank AlertNigeria
Soul BangsFare Bombo MbaiGuinea
Wande CoalIskaba ft Dj TunezNigeria
WerrasonDiembaDRC

Best African Collaboration.
ArtisteTrackCountry
AlikibaAje (Ft M.I.)Tanzania (Nigeria)
BeccaNa Wash (ft Patoranking)Ghana (Nigeria)
C4 PedroLove Again (Ft Sauti Sol)Angola (Kenya)
DavidoCoolest Kid in Africa (ft Nasty C)Nigeria (South Africa)
Fuse ODGDiary (Ft Tiwa Savage)Ghana (Nigeria)
Jah PrayzahWatora Mari (ft Diamond Platnumz)Zimbabwe (Tanzania)
LockoSupporter (ft Mr Leo)Cameroon (Cameroon)
Oumou SangareYere Faga (Ft Tony Allen)Mali (Nigeria)
R2BeesTonight (ft Wizkid)Ghana (Nigeria)
ZeynabNoctambule (ft Shado Chris)Benin (Cote d’Ivoire)

Best Artist or Group in African RnB & Soul.
ArtisteTrackCountry
Ali KibaAje (Ft M.I.)Tanzania
Anselmo RalphEnsina-me a AmarAngola
C4 PedroLove Again (Ft Sauti Sol)Angola
Degg J Force 3AkolonGuinea
Diamond PlatnumzMarry You (Ft Neyo)Tanzania
MimieDance Fi YouCameroon
NoziphoAng’kakaze Ngizizwe NjeSouth Africa
Topher JaxxI Want YouTanzania
Victoria KimaniGiving You (ft Sakordie)Kenya

Best Artist in African Pop.
ArtisteTrackCountry
DaphneCaleeCameroon
Diamond PlatnumzEnekaTanzania
LockoSupporter ft Mr LeoCameroon
MimieDance Fi YouCameroon
Tiwa SavageAll OverNigeria
ToofanTere TereTogo
WizkidCome Closer  (Ft Drake)Nigeria
Yemi AladeMarry MeNigeria

Best Artist or Group in African Traditional.
ArtisteTrackCountry
BombinoAkhar ZamanNiger
Gani NdaniBiiwa YannouBenin
Hamelmal AbateHararEthiopia
Kibrom BirhaneEskista (ft Nassmbu Barasa)Ethiopia
Msafiri ZawoseAsili YanguTanzania
NobuntuWoza NganeZimbabwe
RenissMamumuhCameroon
ZoroGbo Gan Gbom (ft Flavour)Nigeria

African Fans’ Favorite.
ArtisteTrackCountry
DarassaMuziki (ft Ben Pol)Tanzania
DonaldRaindrops (ft Tiwa Savage)South Africa
EbonyPoison (Ft Gatdoe)Ghana
Kandia KoraRetirerGuinea
Nonso AmadiTonightNigeria
NyashinkiAminiaKenya
OlamidePepper Dem GangNigeria
The DoggShuukifa KwiiNamibia
Young ParisBest of Me (Ft Ben Bronfman)DRC

Hakuna maoni:

Inaendeshwa na Blogger.