VIDEO: JESSIE Q FT MADEE- MAPENZI KAMALI

Msanii mpya wa kike kutoka THT, anaitwa Jessie Q ameachia video ya wimbo unaitwa ‘Mapenzi Kamali’, amemshirikisha Madee, video imeongozwa na Jowyzey.


Hakuna maoni:

Inaendeshwa na Blogger.