Wema: Hapa Kazi Tu, atua kwenye ‘Heaven Sent Premiere’ na Idris


Msanii wa filamu nchi Wema Sepetu amefanya uzinduzi wa filamu yake mpya ‘Heaven Sent’ iliyowashirikisha mastaa mbalimbali wa filamu akiwemo Gabo Zigamba. Mrembo huyo alitua katika viwanja vya Mlimani City akiwa bega kwa bega na aliyekuwa mpenzi wake wa zamani, Idris Sultan.

Hakuna maoni:

Inaendeshwa na Blogger.