MOVIE: TAMTHILIA YA EMPIRE SEASON 4 KUREJEA RASMI SEPTEMBA HII

Kama ulikuwa unasubiria kwa hamu mfululizo wa tamthilia ya ‘Empire’ basi usikae mbali na TV yako na ziandae popcorn zako.
Kwa mujibu wa akaunti wa Instagram ya empirefox wameeleza kuwa tamthilia hiyo inarudi tena ifikapo Septemba 27, mwaka huu kupitia kupitia kituo cha Fox  ikiwa na mastaa wake machachali na itaonyeshwa saa mbili usiku.
“This power couple rules the #Empire 👑. Season 4 premieres on September 27 at a new time of 8/7c!,” wameandika kituo hicho.
Video
00:00

Hakuna maoni:

Inaendeshwa na Blogger.