New Video: Nikki wa 11 ft Chin Bees, Kihasara
Msanii wa Bongo Flava, Nikki wa Pili ameachia video ya ngoma yake mpya ‘Kihasara’ ambayo amemshirikisha Chin Bees, video imeongozwa na Lucca Swahili, kwa upande wa audio Luffa kahusika ila Mastering imefanyika Switch Studio.
Hakuna maoni: