wananchi wameombwa kupuuza taarifa za uzushi zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii zikimuhusu Mh Jakaya Mrisho Kikwete
Ofisi ya Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt Jakaya Mrisho Kikwete imeomba wananchi kupuuza taarifa za uzushi zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii zikihusu uvumi mbalimbali dhidi yake.
Soma taarifa kamili:
Hakuna maoni: