Prince William na Kate wanatarajia kupata mtoto wa tatu
Mwanamfalme mtawala wa Cambridge Prince William na mkewe Kate, wanatarajia kupata mtoto wao tatu baada mkewe kuwa na ujauzito.
Familia hiyo ambayo ilipata mtoto wa kwanza mwaka 2013 aitwaye Prince George na mwaka 2015 wakapata mtoto wa kike aitwaye Charlotte Elizabeth Diana ikiwa ni jina la kuwaenzi bibi yake.
Kwa mujibu wa Twitter iliyowekwa na Kensington Palace imetoa taarifa kuwa wanadoa hao wanatarajia kuongeza familia.
“The Duke and Duchess of Cambridge are very pleased to announce that The Duchess of Cambridge is expecting their third child ,” imeandikwa Twitter hiyo.
“The Duke and Duchess of Cambridge are very pleased to announce that The Duchess of Cambridge is expecting their third child ,” imeandikwa Twitter hiyo.
Hakuna maoni: