Mume wa Ciara afunga makumbusho kumfurahisha mkewe
Ile nyimbo ya mapenzi yana ‘Run Dunia’ haikukosewa kuimbwa kwa kudhihirisha hilo mume wa Ciara, Russell Wilson alazimika kufunga shughuli za makumbuusho ili amfurahishe mkewe.
Russell Wilson ambaye ni mchezajiwa American football na National Football League (NFL),
amelazimika kukodi nyumba ya makumbusho na kukatisha shughuli za humo kwa ajili ya kumfurahisha mpenzi wake Ciara.
amelazimika kukodi nyumba ya makumbusho na kukatisha shughuli za humo kwa ajili ya kumfurahisha mpenzi wake Ciara.
Kwa mujibu wa Ciara, ameeleza kufurahishwa kwa kitendo cha mume wake huyo kukodi makumbusho ya Seattle Art iliyopo mjini Washington-Marekani iliwaweze kufurahia penzi lao.
Ciara ambaye ni mama wa watoto wawili huku mtoto wake wa kwanza akizaa na rapper Future, ameeleza kufurahia tukio hilo na kuandiaka katika mtandao wa kijamii wa Instagram kuwa “When Ya Man Shuts Down The Museum For #DateNight… Still Got My Head Spinnin .”
Hakuna maoni: