HEKAHEKA: Jina la Wema Sepetu latumika Facebook kulaghai wasichana
Hekaheka ya Leo Tena ya Clouds FM leo August 28, 2017 imetokea Dar es Salaam ambapo inamuhusu mtu mmoja ambaye hutumia jina la staa wa Bongomovie Wema Sepetu kwenye Facebook na kuwalaghai wasichana.
Inadaiwa kuwa mtu huyo hujifanya Wema Sepetu kisha hudai anataka kutoa kazi kwa wasichana na kuahidi kuwasaidia lakini mwishowe huishia kuwadhalilisha kimapenzi.
Sikiliza Full story kwa kubonyeza Play hapa chini..
Hakuna maoni: